Saving Lives and Properties Call number: 114
John W. Masunga
Commissioner General Fire and Rescue Force
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Said Mtanda akizindua Mitambo na Magari ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoani humo Oktoba 2025
Wafanyakazi wa Ubalozi wa India Nchini wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kupewa elimu ya kinga na tahadhari ya majanga 2026
Picha ya pamoja baada ya Semina ya kuimarisha Usalama katika miradi ya Serikali kuhitimishwa Mkoani Morogoro Novemba 2025
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetunukiwa tuzo maalum ya matumizi bora ya mfumo wa anuani za makazi, Februari 2026.
CGF John Masunga akiwa na Mkuu wa Usalama wa Raia na Huduma za Zimamoto Angola Bravo Mendes baada ya kusaini MoU Sept. 2025
CGF Masunga, akutana na Balozi wa Ufaransa Nchini, Mhe. Anne-Sophie AVE na kufanya naye mazungumzo ya kuimarisha ushirikiano
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Patrobas Katambi akiangalia moja ya Mavazi yanayotumika Kuzimaoto na kufanya Uokoaji
CGF John Masunga akiwa na Mkuu wa Kamandi ya Anga JWTZ Meja Jen. Shabani Baraghashi baada ya kusaini MoU ya Helikopta ya Uokoaji