Saving Lives and Properties Call number: 114

Kumaliza mafunzo ya kozi ya awali katiki chuo Cha Jeshi la Zimamoto na Ukoaji Chogo -Handeni Tanga

Kamishna Jenerali John Masunga akiteta jambo na Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama kufuatia kuporomoka kwa Jengo Dar es salaam

Askari wakiendelea na Operesheni ya Maokozi kufuatia kuporomoka kwa Jengo Kariakoo Jijini Dar es Salaam Mwaka 2024

Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakiendelea na operesheni ya maokozi kufuatia kuporomoka kwa jengo Jijini Dar es salaam

Uzinduzi wa Jengo la Zimamoto na Uokoaji Mchicha Temeke Jijini Dar Es Salaam

Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakifanya zoezi la Uokoaji katika majengo marefu

Koplo Esther Kinyaga akitoa elimu ya matumizi ya mtungi wa kuzimamoto kwa wanafunzi wa moja ya Shule ya Msingi Mkoani Mbeya

Kamishna Athuman Nassa akiwa na Balozi wa India Nchini Tanzania Bishwadip Dey baada ya kusaini hati ya makubaliano Mwaka 2024

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji akiwa Mkuu wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji Iran baada ya kusaini MoU

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mhandisi Hamad M. Masauni akizindua magari na nyumba za makazi ya askari Dodoma

Muonekano wa Magari 12 ya kuzimamoto na kufanya maokozi baada ya kuzinduliwa Jijini Dodoma Mwaka 2024.

Muonekano wa nyumba za makazi ya Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji zilizopo eneo la Kikombo jijini Dodoma