Askari wakiendelea na Operesheni ya Maokozi kufuatia kuporomoka kwa Jengo Kariakoo Jijini Dar es Salaam Oktoba 2024
Kamishna Athuman Rwahila Akiwa na Balozi wa India Nchini Tanzania, Bishwadip Dey baada ya kusaini hati za Makubaliano
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CGF) John Masunga akisalimiana na Kamishna wa Zimamoto Nchini Iran Ghodratollah Mohammedi baada ya kusaini hati za Makubaliano (MoU)
Askari wapya wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kozi namba 1 ya mwaka 2022 wakipita mbele ya jukwaa kuu wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo Chuoni Chogo Handeni- Tanga
Kamishna wa Operesheni, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CF) Happiness Shirima akiwapongeza Maafisa wa Marekani baada ya kutoa mafunzo ya huduma ya dharura (EMS) kwa Maafisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Nchini Mei 2025
Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (ASF) Castory Willa aliliwakilisha Jeshi hilo kwenye mdahalo kati ya Serikali ya Tanzania na Korea Kusini kuhusu masuala ya usalama wa umma. Mdahalo huo ulifanyika Jijini Dar es salaam Julai 2025
CGF John Masunga with the General secretary of Tanzania Red Cross society, Lucia Pande after signing the MoU in Dar es Salaam